Skip to main content

Posts

Showing posts from 2018

STEVE CHEN: YOU TUBE co founder

Steve Chen 陳 士 駿 Chen in 2007 Born Steven Shih Chen August 18, 1978 (age 40) Taipei , Taiwan Residence San Francisco , California , U.S. Alma mater University of Illinois at Urbana-Champaign Occupation Co-Founder of AVOS Known for Co-Founder of YouTube Net worth $300 million Spouse(s) Park Ji-hyun (Jamie Chen) Children 2 Steven Shih Chen ( traditional Chinese : 陳 士 駿 ; simplified Chinese : 陈 士 骏 ; pinyin : Chén Shìjùn ; born August 18, 1978) is an American Internet entrepreneur . He is one of the co-founders and previous chief technology officer of the video-sharing website YouTube . After having co-founded the company AVOS Systems, Inc. and built the video-sharing app MixBit , [1] he joined Google Ventures in 2014. [2] Early years and education Chen was born in Taipei , Taiwan . When he was fifteen, he and his family immigrated to the United States [3] and settled in Prospect Heights, Illinois . [4] He went to River Trai...

Grace Mugabe anashutumiwa kumjeruhi mwanamitindo nchini Afrika Kusini

  Waendesha mashtaka nchini Afrika Kusini wametoa waranti ya kukamatwa kwa mke wa Rais wa zamani wa Zimbabwe,Grace Mugabe, kutokana na tuhuma za kumshambulia mwanamitindo mwaka 2017, Polisi wameeleza. Hatua hiyo imekuja baada ya mahakama kuibatilisha kinga yake ya kidiplomasia mwezi Julai. Serikali ya Afrika Kusini ilikosolewa kwa kuruhusu Bibi Mugabe kuondoka nchini humo baada ya mashambulizi. Gabriella Engels alimshutumu kwa kumpiga katika chumba cha hoteli mjini Johannesburg. Msemaji wa polisi,Vishnu Naidoo amesema ''Siwezi kuthibitisha kuwa hati ya kumkamata Grace Mugabe ilitolewa Alhamisi iliyopita''. Alisema polisi wanatafuta usaidizi kutoka idara ya Interpol kufanyia kazi waranti hiyo. Haijafahamika kwa nini ripoti kuhusu waranti hiyo ilicheleweshwa na hakuna tamko lolote lililotolewa na Bibi Mugabe au mamlaka za Zimbabwe. Familia ya Mugabe inamiliki mali nchini Afrika Kusini Tukio la mashambulizi dhidi ya mwanamitindo lilitokea miezi mitatu ...

Dermophis donaldtrumpi: Kiumbe anayeishi baharini na nchi kavu apewa jina Donald Trump

  EnviroBuild, ndio kampuni iliyopata haki ya kumpa kiumbe huyo jina, iliongeza nywele bandia kwenye kiumbe huyo jambo lililomfanya kuwa na muonekano unaokaribiana na wa Trump. Kiumbe anayeweza kuishi baharini na katika nchi kavu amepewa jina la Rais wa Marekani Donald Trump, ingawa huenda kiongozi huyo asitake kuhusishwa na kiumbe huyo kutokana na sifa zake. Amfibia huyo huwa anafukia na kuficha kichwa chake mchangani anapokabiliwa na hatari, jambo ambalo pengine limewashawishi wahusika kumpa kiumbe huyo jina la Trump kutokana na kiongozi huyo kukana kwamba shughuli za viwanda na za kibinadamu zinachangia mabadiliko ya tabia nchi. Kiumbe huyo pia ni kipofu, hawezi kuona. Mnyama huyo ambaye amepewa jina Dermophis donaldtrumpi , aligunduliwa katika eneo la Panama, na alipewa jina hilo na mkuu wa kampuni ya EnviroBuild ambaye alikuwa amelipa $25,000 (£19,800) kwenye mnada kupata fursa ya kumpa jina kiumbe huyo. K...

BASATA: Tuna mamlaka na uwezo wa kuwazuia Diamond Platnumz na Rayvanny kutumbuiza nje ya Tanzania

Baraza la Sanaa la Taifa nchini Tanzania (BASATA) limetetea hatua yake ya kuwapiga marufuku wanamuziki Diamond Platnumz na Rayvanny dhidi ya kufanya tamasha zozote kwa muda usiojulikana. Basata walitangaza uamuzi huo Jumanne wakisema hatua yao ilitokana na wawili hao kutofuata maagizo waliyopewa na baraza hilo wimbo wao wa Mwanza ulipopigwa marufuku Novemba. Wasanii hao wawili walikuwa awali wametakiwa kuuondoa wimbo wao kwa jina 'Mwanza' kutoka kwenye mitandao ya kijamii, lakini wimbo huo umeendelea kuwepo kwenye YouTube na wamekuwa wakiucheza kwenye tamasha mbalimbali. Kadhalika, Diamond ambaye jina lake halisi ni Nasibu Abdul Juma Issaack, Rayvanny ambaye jina lake halisi ni Raymond Shaban Mwakyusa na Wasafi Limited walikuwa wametakiwa kila mmoja kulipa faini ya shilingi milioni tatu za Tanzania kabla ya siku 14 kupita "Baraza limefikia maamuzi ya kuwafungia rasmi kutokana na wasanii hawa kuendelea kuonyesha dharau na utovu wa nidhamu kwa mamlaka zinazosimamia ...

Fastjet: Shirika la ndege lapewa makataa kujieleza kwa nini wasifungiwe Tanzania

Shirika la ndege la Fastjet Airlines Limited maarufu kama Fastjet Tanzania limepewa makataa ya siku 28 kueleza sababu zinazoweza kuzuialisifungiwe kuendelea kuhudu Tanzania. Kwa mijibu wa Mamlaka ya Safari za Anga Tanzania, shirika la ndege la Fastjet limekosa sifa ya leseni ya usafiri wa anga kwa sababu halina ndege zozote kwa sasa. TCAA imesema ilitoa notice ya siku 28 ya kulitaka shirika hilo lisitishe mauzo kwa abiria. Na limeamuru shirika hilo kurejesha pesa kwa abiria hao au kuwatafutia usafiri katika mashirika mengine. Mamlaka hiyo pia imeamuru waliopata hasara wafidiwe kwa mujibu wa sheria, na watoe mpango mkakati kwa nini wasifutiwe leseni ndani ya siku 28, pia ikitokea shirika hilo limefungwa basi walipe stahiki za wafanyakazi. Fastjet tayari wametangaza kusitisha safari zake zote za mwezi Desemba na mwezi Januari. Na wameahidi kurejesha nauli za abiria wote kuanzia tarehe 20 mwezi de...

How to Edit HTML in Blogger

Mwalimu mashakani kwenda jela Marekani kwa kumnyoa mwanafunzi nywele kwa lazima

                                                                Margaret Gieszinger Mwalimu mmoja nchini Marekani anakabiliwa na mashtaka ya uhalifu, baada ya picha ya video kusambaa mitandaoni akimkata kwa lazima nywele mwanafunzi mmoja darasani, huku akiimba wimbo wa taifa wa Marekani. Margaret Gieszinger, 52, amefukuzwa kazi kwa kitendo hicho alichokifanya katika Shule ya Sekondari ya Chuo Kikuu cha huko Visalia, California. Waendesha mashtaka wamesema kuwa amekanusha makosa sita dhidi yake, likiwemo kosa la ukatili dhidi ya mtoto na shambulio la kimwili. Anakabiliwa na hukumu ya miaka mitatu unusu jela iwapo atakutwa na hatia. Bi Gieszinger, aliachiliwa kwa dha...

Jengo la kutengenezea ndege aina ya Boeing ndiyo kiwanda kikubwa zaidi duniani

Haki miliki ya picha GETTY IMAGES Image caption Kiwanda hicho sasa kinaunda kizazi kipya cha ndege aina ya Boeing Shirika la Boeing lilipoamua kuunda ndege yake chapa 747 - lilijizolea sifa kwa kufungua mlango wa kutengeneza ndege kubwa zaidi duniani. Hata hivyo shirika hilo lililazimika kujenga kiwanda kikubwa zaidi ambacho kina uwezo wa kukidhi mahitaji ya ndege hiyo. Ikiwa umewahi kuona ndege aina ya 747 ikiwa karibu, bila shaka utafahamu ukubwa wa ndege hiyo. Kwa hivyo si ajabu kuona kiwanda kilichounda ndege hiyo kuishia kuwa na jumba kubwa zaidi la kiwanda. Jengo  kubwa kiasi gani? Boeing ilianza kujenga kiwanda cha Everett mwaka 1967, muda mfupi baada ya mradi wake wa Boeing 747 kuanza kushika kasi. Bill Allen, mmoja wa viongozi wa ngazi ya juu katika kampuni ya Boeing, anasema shirika hilo lilifahamu fika kuwa, linahitaji sehemu kubwa, endapo lina mpango wa kuunda ndege ya kubeba abiria 400. Waliamua kuchagua eneo la takriban kilomita 35 Kaskazini mwa jiji la...

Hardwood vs. Softwood

Diffen  ›  Home Improvement Classifying wood as either a  hardwood  or  softwood  comes down to its physical structure and makeup, and so it is overly simple to think of hardwoods as being hard and durable compared to soft and workable softwoods. This happens to be  generally  true, but there are exceptions, such as in the cases of wood from yew trees — a softwood that is relatively hard — and wood from balsa trees — a hardwood that is softer than softwoods. Hardwood  comes from angiosperm — or flowering plants — such as oak, maple, or walnut, that are not  monocots .  Softwood  comes from  gymnosperm trees, usually evergreen conifers, like pine or spruce. Comparison chart Hardwood versus Softwood comparison chart Hardwood Softwood Definition Comes from  angiosperm  trees that are not  monocots ; trees are usually broad-leaved. Has vessel elements that transport water throughout the wo...