
"Bashir atashtakiwa katika mfumo wetu wa mahakama," Lt Jen Omar Zain al-Abidin amewaambia wandishi habariHatutowavumilia wale wanaowaua raia," amesema.
Ameongeza kwamba hakuna raia wa Sudana atakayesafirishwa kwenda kujibu mashtaka katika nchi ya nje ilimradi baraza la jeshi lipo uongozini, lakini ameongeza huenda serikali ijayo ya kiraia ikaamua kulishughulikia hilo kwa njia tofauti.Bashir anakabiliwa na mashtaka katika mahakama ya kimataifa ya jinai ICC kwa makosa ya uhalifu wa kivita na uhalifu dhidi ya binaadamu katika mzozo wa Darfur magharibi mwa nchi hiyo.Mzozo huo ulianza mnamo 2003 baada ya waasi kujihami kwa silaha wakiituhumu serikali kwa kuwanyanyasa watu wa kutoka eneo hilo.Maelfu ya watu waliuawa katika mzozo huo.- Lt Jen Awad Ibn Auf ameapishwa kama kiongozi wa baraza la jeshi Sudan linalotarajiwa kusimamia serikali ya mpito kwa kipindi cha miaka miwili kabla ya kuingia katika serikali ya uongozi wa raia.Ndiye aliyetangaza kupinduliwa kwa Omar al-Bashir jana Alhamisi na "kung'olewa kwa utawala". Lakini anaonekana kuwa karibu na kiongozi aliyetimuliwa madarakani:
- Alikuwa waziri wa ulinzi wa Bashir na alichaguliwa kuwa makamu wa rais mnamo Februari wakati rais alipofanya mageuzi ya baraza la mawaiziri
- Alipigiwa upatu kumrithi Bashir
- Alikuwa mkuu wa kitengo cha ujasusi katika jeshi wakati wa mzozo wa Darfur
- Mnamo 2007, Marekani ilimuekea vikwazo kwa kutuhumia kuunga mkono wanamgambo wa Janjaweed wanaotuhumiwa kutekeleza uhalifu katika eneo la Darfur
- Mnamo 2008, alitajwa kuwa naibu mkuu wa majeshi lakin iakafutwa miaka miwili baadaye
- Alichaguliwa kuwa waziri wa ulinzi mnamo 2015
Haki miliki ya picha JACQUELINE NTUYABALIWE Jacqueline Ntuyabaliwe (Jacqueline Ntuyabaliwe Mengi) ambaye pia anajulikana kama K-Lyn alizaliwa tarehe 6 mwezi Disemba 1978 mjini Dar es Salaam, Tanzania. Ni Mwanamuziki , mfanyabiashara na aliwahi kushinda taji la malkia wa Urembo nchini Tanzania (2000). Ni Mwanzilishi wa kampuni ya samani ilioshinda tuzo Amorette Ltd . Babake alitoka kutoka eneo la Kigoma akiwa daktari bingwa wa magonjwa ya wanawake huku mamake akiwa nesi. Alisomea elimu yake ya msingi katika shule ya bweni ya Nyakahoja Primary mjini Mwanza kabla ya kuelekea mjini Dar es Salaam ambapo aliendelea na elimu yake ya msingi katika shule ya Forodhani. Jackline ni msichana wa mwisho katika familia ya watoto watatu wa kike Katika utoto wake alikuwa msichana mwenye haya jingi lakini alipendelea sana kusoma vitabu Muziki Alianza usanii 1997 akishirikiana na bendi ya Tanzania kwa jina the Tanzanites. Aliimba kama mmojawapo wa viongozi kwa miaka mitatu. ...

Let evidence,,, information are not organized,,,Kwanza hi blog venye umelipia au unaendesha tu!
ReplyDeleteWafaiidaaa nakubalii
ReplyDeletehaina noma mkuu soon utakubali
ReplyDelete