
Kundi la wafungwa wa Yemen waliozuiliwa nchini Marekani katika Gereza la Guantanamo Bay wamewasili nchini Saudi Arabia.
Waandishi
kutoka katika shirika la habari la AFP wamesema watu watatu wameonekana
wakipokelewa na familia zao katika uwanja wa ndege ambao kwa kawaida
hupokea viongozi Mashuhuri katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa
Riyadh.
Kuhamishwa kwa wafungwa kumetokea siku mbili baada ya
Ikulu ya Marekani kuahidi kuendelea na mpango wake wa kuhamisha wafungwa
kutoka kataka Gereza la Guantanamo Bay, wakipinga suala ambalo limekuwa
likipingwa vikali na Rais mteule wa Marekani Donald Trump.
Comments
Post a Comment
Here