When preparing raw food, surfaces have to be cleaned thoroughly afterwards. Watu wanapaswa kufahamu namna ya kuzuia viini vinvayosababisha magonjwa vinavyosambaa nyumbani kliko kufanya usafi wa maeneo wanayoyaona kuwa ni "machafu", kwa mujibu wa ripoti ya British Royal Society for Public Health (RSPH). Kuosha mikono, nguo na kusafisha sehemu kwa wakati muafaka ndio chanzo cha afya nzuri- lakini mtu mmoja kati ya wanne wanadhani hilo sio muhimu, ripoti hiyo inaonya. Kulifanya hilo kwa njia sawa kunaweza kupunguza maambukizi na magonjwa kukaidi dawa za antibiotic. Na hakuna usafi 'unaopita kiasi'. Kuna mchanganyiko kwa umma kuhusu utofuati katiya uchafu na viini vya uchafu au germs, usafina afya. Katika utafiti wa watu 2,000, asilimia 23 walidhani watoto wanihatji kushika uchafu ili kujenga mfumo wa kinga mwilini. Lakini wataalamu katika ripotihiyo wanasema "kuna uwezekano wa madhara" yanayoweza kuwafanya kupata maambukizi ...
BLESSED TO BLESS OTHERS