Skip to main content

Posts

Showing posts from September, 2019

Gwaride maalum China litakaloonyesha silaha zake mpya

Haki miliki ya picha China itakuwa na gwaride kubwa la kijeshi hapo kesho kwa ajili ya kusheherekea miaka 70 ya chama kinachotawala nchini humo cha 'Communist' , na nchi hiyo imehaidi kuonyesha silaha mpya zinazotengenezwa nchini humo katika mji wa Beijing. Je, ni silaha gani watakazozionyesha na kwanini China sasa inatambuliwa kama taifa la pili lenye bajeti kubwa ya kijeshi duniani? O k tob a mosi kuna mipango gani ? Gwaride la kijeshi ni miongoni mwa mambo makubwa yatakayofanyika katika sherehe hiyo kubwa itakayofanyika katika eneo la Tiananmen litahudhuriwa na maafisa wakubwa, wananchi kadhaa walioallikwa na askari 188 kutoka nchi 97. Haki miliki ya pich Image caption Pamoja na shauku kubwa iliyopo miongoni mwa watu lakini ni...